Mhe. Tomer Bar-Lavi, Naibu Balozi wa Israel nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.