Recent News and Updates
Mhe. Waziri Dkt. Stergomena L. Tax aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 14 wa Kamati ya Mawaziri wa Kisekta wa Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika
Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa 14 wa Kamati Maalum ya Mawaziri wanaosimamia masuala ya Ulinzi na Usalama wa Umoja… Read More
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kisekta ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kisekta ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika (African Union Specialized Technical… Read More