Kufuatia ajenda za mkutano wa Kawaida wa Mawaziri wa Fedha, kulifanyika uchaguzi wa Kamati ya Ungozi ya Bureau ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepata nafasi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kwanza kwenye Kamati ya Uongozi wa Bureau (1st Vice Chairperson of the STC Bureau of the 8th Ordinary Session of the STC on Finance, Monetary Affairs, Economic Planning and Integration). Kamati ya Uongozi iliyochaguliwa ni kama Ifuatavyo:-
1. _Southern Region, Republic of Eswatini -Chairperson of the STC Bureau;
2. Eastern Region, United Republic of Tanzania 1st Vice - Chairperson
3. Central Region, Republic of Equatorial Guinea, 2nd Vice - Chairperson;
4. Western Region, Republic of Gambia 3rd Vice - Chairperson; and
5. Northern Region, Islamic Republic of Mauritania - Rapourtour_
Katika kipindi cha Uongozi wake kwenye Kamati ya Uongozi wa Bureau , Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kushirikiana na Nchi zingine katika kutekeleza kazi za Umoja wa Afrika ambazo zina lengo la kuleta maendeleo Barani Afrika.
