News and Resources Change View → Listing

Mhe. Waziri Dkt. Stergomena L. Tax aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 14 wa Kamati ya Mawaziri wa Kisekta wa Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika

Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa 14 wa Kamati Maalum ya Mawaziri wanaosimamia masuala ya Ulinzi…

Read More

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kisekta ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kisekta ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika  (African Union…

Read More

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP. Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Ethiopia, Kamishna Jenerali Demelash Gebremichael

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP. Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Ethiopia, Kamishna Jenerali Demelash Gebremichael. Viongozi hao wamekubaliana kuimarisha…

Read More

Wasanii wa Kimataifa kutoka Tanzania-Diamond Platnumz na Rayvanny watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia

Leo tarehe 06 Mei 2022 Mheshimiwa Innocent Shiyo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia amewakaribisha  Ubalozini Wasanii wa Kimataifa kutoka Tanzania, Diamond Platnumz na Rayvanny.…

Read More