Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 05 Februari 2022 ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo umebeba kaulimbiu isemayo "kuimarisha Lishe na Usalama wa Chakula barani Afrika: Kuongeza kasi ya Uzalishaji katika kilimo, Maendeleo ya Rasilimali Watu na Maendeleo Endelevu ya Kiuchumi na Kijamii"
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika
Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika

