Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ashiriki Mkutano wa 8 wa Baraza la Mawaziri wa Biashara wa Afrika unaofanyika Accra, Ghana
Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Nane wa Baraza la Mawaziri wa Biashara wa Eneo Huru la Biashara barani Afrika…
Read More





