Mheshimiwa Balozi Mbarouk N. Mbarouk (Mb.), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa 40 wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia tarehe 2-3 Februari 2022. 

  • Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia uchaguzi wa Wajumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika wakati wa Mkutano wa 40 wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika
  • Mhe. Naibu Waziri Mbarouk (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Jaji Iman Aboud, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (Katikati) na Mhe. Balozi Innocent Shiyo, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika wakati wa Mkutano wa 40 wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika