Lugha ya Kiswahili imechaguliwa kuwa lugha rasmi Umoja wa Afrika (AU)
Lugha ya Kiswahili imechaguliwa kuwa lugha rasmi kutumika katika mikutano yote itakayoendeshwa na Umoja wa Afrika (AU). Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula amesema siku za nyuma kilikuwa…
Read More






