News and Resources Change View → Listing

Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ashiriki Mkutano wa 8 wa Baraza la Mawaziri wa Biashara wa Afrika unaofanyika Accra, Ghana

Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Nane wa Baraza la Mawaziri wa Biashara wa Eneo Huru la Biashara barani Afrika…

Read More

Tanzania yawasilisha Hati ya kuridhia Mkataba wa Uanzishaji wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCTA) kwenye Kamisheni ya Umoja wa Afrika

Leo tarehe 17 Januari 2022, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasilisha rasmi kwenye Kamisheni ya Umoja wa Afrika Hati ya kuridhia Mkataba wa Uanzishwaji wa Eneo Huru la Biashara Afrika (CFTA).…

Read More

Mhe. Balozi Innocent Shiyo afanya mazungumzo na Mhe. Mohammed Arrouchi, Balozi wa Morocco nchini Ethiopia

Tarehe 14 Januari 2022 Mhe. Innocent Shiyo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika na Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Innocent E. Shiyo awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Ethiopia

Mheshimiwa Innocent Eugene Shiyo, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Afrika na Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) amewasilisha Hati za Utambulisho…

Read More

Mhe. Innocent E. Shiyo, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika

Leo tarehe 13 Desemba 2021, Mhe. Innocent Eugene Shiyo, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Faki…

Read More

TRAVEL ADVISORY NO.8 OF 13TH SEPTEMBER 2021

The Government of the United Republic of Tanzania (URT) through Ministries responsible for Health Mainland and Zanzibar has decided to elevate and enhance prevailing preventive measures against COVID-19…

Read More
Maafisa Ubalozi wakiongozwa na Mhe. Elizabeth Rwitunga, Kaimu Balozi wakiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Mahakama.

MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA

Ujumbe kutoka Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu watembelea na kufanya mazungumzo na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Addis Ababa tarehe     15 Septemba, 2021.  Ujumbe wa…

Read More