Mhe. George Morara Orina
Mhe. George Morara Orina, Balozi wa Kenya nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreMhe. George Morara Orina, Balozi wa Kenya nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreBi. Patricia Yeboah, Mwakilishi wa Balozi wa Ghana nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreBw. Karim Ouepia Idogo, Kaimu Balozi wa Burkina Faso nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreMhe. Yema Flora Dos Santos Silva, Naibu Balozi wa Angola akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreMhe. Maes Ennio, Balozi wa Côte d'Ivoire nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreMhe. Michael P. Murphy, KM, Balozi wa Malta na Mwakilishi wa Kudumu wa kwenye Umoja wa Afrika akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa…
Read MoreMej. Gen. (Rtd) Charles Karamba, Balozi wa Rwanda nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read MoreBw. Mohamdy Amme, Mwakilishi wa Balozi wa Mauritania nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa…
Read More