Mhe. Sahak Sargsyan Balozi wa Armenia nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.