Mhe. Michael P. Murphy, KM, Balozi wa Malta na Mwakilishi wa Kudumu wa kwenye Umoja wa Afrika akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Get all latest updates from the Embassy in Your Inbox