Mhe. Emmanuel Tutuba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ametembelea Ubalozi wa Tanzania Addis Ababa. Mhe. Gavana Tutuba yupo nchini Ethiopia kushiriki Mkutano wa 55 wa Mawaziri wa Fedha, Mipango ya Maendeleo na Uchumi w Afrika unafanyika tarehe 20-21 Machi 2023. Mkutano huo utajadili masuala mbalimbali ya kiuchumi na Maendeleo barani Afrika ikiwemo mikakati ya kupinguza umaskini, ukuaji wa uchumi, Development Financing, Climate Financing na usimamizi wa Madeni.
Mhe. Emmanuel Tutuba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) atembelea Ubalozi wa Tanzania-Addis Ababa
Mhe. Emmanuel Tutba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akiwa na Mhe. Balozi Ali Bujiku Sakila, Naibu Mkuu wa Kituo

