Mhe. Balozi Jamaludin M. Omary, Naibu Mkurugenzi Mkuu, Anayeshughulikia Masuala ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia akisaini kitabu cha Maombolezo kwa Niaba ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.