Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz awasilisha Hati za Utambulisho

  • Gwaride Rasmi likitoa heshima na kupiga wimbo wa Taifa wa Tanzania na Ethiopia.
  • Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwasilisha hati za utambulisho kwa Mhe. Girma Wolde Giorgis, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Kidemokrasi ya Ethiopia.
  • Mhe. Balozi Naimi Aziz akifanya mazungumzo na Rais Girma Wolde Giorgis wa Ethiopia.
  • Mhe. Balozi Naimi Aziz, Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia akisaini Kitabu cha Maalum cha Wageni katika Ikulu ya Ethiopia.
  • Mhe. Balozi Naimi Aziz akikaribishwa na Maafisa Ubalozi katika ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia.
  • Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi.
  • Mhe. Balozi Naimi Aziz akifanya kikao cha kwanza na Maafisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia.