Askofu Mkuu, Antoine Camilleri  Balozi wa Vatcan nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.