Mhe. Rose Kashembe Mukoboto Sakala
Mhe. Rose Kashembe Mukoboto Sakala, Balozi wa Zambia nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Read More



