News and Resources Change View → Listing

Mhe. Rose Kashembe Mukoboto Sakala

Mhe. Rose Kashembe Mukoboto Sakala, Balozi wa Zambia nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Read More

Mhe. Mohamed Lamine Laabas

Mhe. Mohamed Lamine Laabas, Balozi wa Algeria nchini Ethiopia akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Read More

Mhe. Balozi Jamaludin M. Omary, Naibu Mkurugenzi Mkuu

Mhe. Balozi Jamaludin M. Omary, Naibu Mkurugenzi Mkuu, Anayeshughulikia Masuala ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia akisaini kitabu cha Maombolezo kwa Niaba ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia…

Read More

WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ATUA NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mhe. Dkt. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo tarehe 29 Februari 2024 kuanza ziara yake ya  kitaifa ya siku tatu.Mara baada ya kuwasili…

Read More

Invitation to tender: Tender No. ME-013/2023-2024/HQ/W/11 for Construction of Concrete Wall and Security Guard Room at the Tanzania Embassy in Addis Ababa, Ethiopia

The tender is advertised on the TANEPS website: www.taneps.go.tz, Tender No. ME-013/2023-2024/HQ/W/11, titled - Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation. 

Read More