News and Events Change View → Listing

TANZANIA YACHAGULIWA TENA MJUMBE BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA AU

Tanzania imechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwa Mjumbe wa Baraza la  Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC)  kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia mwaka 2014 hadi 2016.Katika uchaguzi huo…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz awasilisha Hati za Utambulisho

Read More

Rais Kikwete awasili nchini Ethiopia kuhudhuria Sherehe za miaka 50 za Umoja wa Nchi za Afrika (AU)

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya maandalizi ya sherehe hizo kutoka kwa Mhe. Prof. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia…

Read More

Salamu za rambi rambi kwa Rais wa Ethiopia, Mheshimiwa Girma Wolde-Giorgis.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya leo, Jumanne, Agosti 21, 2012, amepokea kwa mshtuko mkubwa, masikitiko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Waziri Mkuu wa…

Read More

Forum on China-Africa Cooperation-Addis Ababa Action Plan (2004-2006)

1.1 We, the ministers in charge of foreign affairs and international economic cooperation from China and 44 African countries, met in Addis Ababa, capital of Ethiopia from 15-16 December 2003 for the…

Read More