Ubalozi unapenda kuchukuwa fursa hii kumpongeza Kulwa Maige, Mbunifu Kijana wa Mavazi kutoka Tanzania kwa kushiriki kwenye Maonyesho ya Ushonaji na Ubunifu ya _TechStiched Fashion Residency yaliyoandaliwa na British Council tarehe 28/3/24 Addis Ababa, Ethiopia.